Search

630 results for Eliya Solomon :

  1. Mbwebwe zilivyomponza Dida, Azam ikiifuata Yanga nusu fainali FA

    MBWEMBWE zilizoonyeshwa na kipa wa Namungo FC, Deogratius Munish 'Dida' zimeifanya timu hiyo kuruhusu bao la kizembe katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya Azam...

  2. Kibu nje Simba ikiivaa Mtibwa Sugar

    YUKO wapi Kibu Denis? Hilo ndilo swali ambalo mashabiki wa Simba wanajiuliza baada ya kuuwekwa wazi kikosi chao ambacho kitacheza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar muda huu. Uvumi wa...

  3. Gamondi afichua jambo Yanga

    HESABU za Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi ni kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara mapema tu kadiri iwezekanavyo na ndiyo maana amefichua kuwa na dozi maalum kwa wachezaji wake kwenye uwanja wa...

  4. Guede ni habari nyingine Yanga, awapiga bao Mzize, Musonda

    Ni kama gari limewaka zaidi kwa mshambuliaji wa Yanga, Joseph Guede ambaye hivi sasa namba zake zinambeba na kumfanya kuwa mchezaji hatari kwenye kikosi cha timu hiyo kinachonolewa na Kocha...

  5. Gamondi adai Pacome bado, mwenyewe afunguka

    KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi amemtazama nyota wake Pacome Zouzoua kwa dakika 20 alizompa katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya Tabora United na kusema bado...

  6. Pacome apewa dakika 20, Yanga ikitinga nusu fainali FA

    BAADA ya kukosekana katika michezo saba katika mashindano tofauti sawa na dakika 630, kiungo Pacome Zouzoua amecheza dakika 20 wakati Yanga ikitinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) kwa...

  7. Pacome afunga bandeji goti aliloumia

    LICHA ya kuonekana kuwa fiti kwa ajili ya mchezo wa robo fainali ya kombe la shirikisho (FA), kiungo wa Yanga, Pacome Zouzoua ameonakana akiwa amefunga bandeji ya bluu kwenye goti aliloumia zaidi...

  8. Gamondi avujisha majibu mtihani wa Mamelodi

    Yote hayo ameyataka Miguel Gamondi. Huko Afrika Kusini anatafutwa nani mchawi kufuatia mimba ya soka nchini humo, Mamelodi Sundowns kuondolewa katika hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa...

  9. Kalaba aruhusiwa kutoka hospitalini

    NAHODHA wa zamani wa Zambia, Rainford Kalaba ameruhusiwa kutoka hospitalini baada ya kujeruhiwa vibaya katika ajali ya gari mwanzoni mwa mwezi huu. Kiungo huyo wa zamani wa TP Mazembe, alikuwa...

  10. Nidhamu yaibeba JKT mbele ya Yanga jeshini

    NIDHAMU nzuri ya kujilinda kwa vijana wa Malale Hamsini, JKT Tanzania ni miongoni mwa mambo ambayo yaliifanya Yanga kuwa na wakati mgumu kuifungua ngome ya maafande hao katika mchezo wa Ligi Kuu...

Page 1 of 63

Next